Kutoleta Adhkaar za baada ya swalah


Swali: Ni ipi hukumu kwa mwenye kuswali lakini haleti Adhkaar na Istighfaar baada yake?

Jibu: Huu ni upungufu. Ujira wake unapungua kwa kukosa kuleta Adhkaar zilizowekwa baada ya swalah. Huyu amejinyima mwenyewe. Anatakiwa kuleta Adhkaar baada ya swalah ili ujira wake utimie baada ya hapo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980