Swali: Ni wajibu kwa mtu kuoga mara nyingine akitokwa na manii baada ya kuoga?

Jibu: Hapana, ikiwa sio kwa ladha. Ikiwa yamemtoka kwa ladha, ni lazima aoge mara nyingine. Ikiwa inahusiana na manii yenye kubaki kwenye dhakari na yakatoka, inatosha kuosha dhakari na kutawadha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 09/11/2016