Kutokulala ni sifa kamilifu kwa Allaah

Swali: Tunaweza kusema kuwa kutokulala ni sifa kamilifu kwa Allaah kwa vile upande wa binaadamu ni sifa yenye mapungufu?

Jibu: Ndio, kutokulala ni sifa kamilifu kwa upande wa Allaah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (01)
  • Imechapishwa: 09/08/2020