Kutoka katika mzunguko wa kielimu na kwenda katika safu za mbele

Swali: Baadhi ya vijana wanapomsikia muadhini wanasimama na kwenda katika ile safu ya kwanza na wanaacha zile sehemu zao ambazo walikuwa wakijifunza elimu. Je, huku kunazingatiwa ni kusimama kutoka sehemu bora zaidi na badala yake kwenda sehemu inayoshindwa ubora?

Jibu: Pale pahali anapojifunza elimu ni mahali pa ´ibaadah. Kule kubaki kwake na akaendelea kufaidika ndio bora zaidi. Lakini pia kule kutangulia kwake mbele ni jambo lina wajhi fulani.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (06) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/433/433.mp3
  • Imechapishwa: 08/12/2018