Kutofautiana kwa bei kutoka mwezi mmoja kwenda mwingine


Ahamd aliulizwa kuhusu muuzaji anayesema: “Ukilipa mwezi huu, basi utapata bidhaa kwa bei fulani, na ukilipa mwezi ujao, basi utalipa zaidi.” Ahmad akajibu: “Haijuzu.”

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Abiy Harb al-Jarjaara’iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 57
  • Imechapishwa: 15/03/2021