Swali: Ni ipi hukumu ya kukusudia kutoa zaidi ya Swaa´ wakati wa Zakaat-ul-Fitwr na kunuia ni swadaqah?

Jibu: Haina neno. Ni sawa kutoa zaidi. Kisichojuzu ni kutoa chini ya hivo. Si sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/1434-08-14.mp3
  • Imechapishwa: 21/05/2018