Kutoa Khutbah moja tu siku ya Ijumaa


Swali: Ni ipi hukumu lau Khatwiyb ameswali na hakutoa Khutbah isipokuwa moja tu?

Jibu: Swalah irudiliwe tena na Khutbah. Swalah irudiliwe na Khutbah mbili zitolewe tena. Huyu ni mchezaji. Ni wajibu atiwe adabu na asiwekwe kuwa Imamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-01-27.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014