Swali: Ni ipi hukumu ya kuadhini hali ya kutembea ili watu wengi waweze kuishuhudia na khaswa ikiwa ni nchikavu?

Jibu: Hakuna dalili ya hilo. Haifai kwetu kuzua kitu kutoka kwetu wenyewe. Anatakiwa kusimama wakati wa adhaana. Haifai kwake akatikisika. Haifai kwake akazunguka huku na kule.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
  • Imechapishwa: 21/01/2017