Wudhuu´ wa aliyetawadha uchi


Swali: Nilipomaliza kujisafisha nilitawadha kisha nikatoka chooni na nikavaa nguo zangu. Je, kitendo changu hichi ni sahihi? Kufunika vile viungo visivyotakiwa kuonekana sio sharti katika kusihi kwa wudhuu´?

Jibu: Wudhuu´ wako ni sahihi. Kufunika vile viungo visivyotakiwa kuonekana sio sharti katika kusihi kwa wudhuu´.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (10/101)
  • Imechapishwa: 13/08/2021