Kutawadha tena kwa kutokwa na matone kwenye dhakari

Swali: Baada ya kumaliza kuoga janaba anatokwa na matone madogo. Je, ni wajibu kwake kutawadha tena?

Jibu: Ndio. Akitokwa na kitu kupitia njia mbili, japokuwa ni kidogo, basi arudi kutawadha tena.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (49) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m-3%20%20-%2012%20-%202%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 04/11/2018