Swali: Ni sawa kutahadharisha Bid´ah za mtu wa Bid´ah ambaye kishakufa ili watu watahadhari na shari za Bid´ah hii?

Jibu: Tahadharisha Bid´ah na achana na watu. Lakini ukiona mtu ni mwenye kudanganyika na mtu huyu na anachukua elimu kutoka kwake, mbainishie kuwa mtu huyu hafai na kwamba ni mzushi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20maji%20d%20-%2011%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017