Swali: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kufanya maalum kusimama kisimamo cha usiku ule wa mwisho wa mwaka wa Hijrah?

Jibu: Hapana. Nyusiku zote ziko sawasawa. Haijalishi kitu ni mwishoni mwa usiku, katikati ya mwaka au ni mwanzoni mwa mwaka. Nyusiku zote ziko sawa. Usiku wa mwisho wa Hijrah hauna umaalum wowote juu ya nyusiku nyenginezo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatsah%20%20-%2028%20-%2012%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017