Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali Swalah ya Ijumaa kwenye Muswallayaat?
Jibu: Ikiwa hakuna Msikiti na katika mji kuna mahala ambapo watu wanaweza kuswali Ijumaa, hakuna neno…
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-10.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014