Kuswali swalah ya ijumaa katika Muswallayaat


Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali Swalah ya Ijumaa kwenye Muswallayaat?

Jibu: Ikiwa hakuna Msikiti na katika mji kuna mahala ambapo watu wanaweza kuswali Ijumaa, hakuna neno…

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-10.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014