Kuswali Rak´ah mbili baada ya kila dhambi


Swali: Baadhi ya walinganizi wanasema “Mwenye kutaka kuacha madhambi ni juu yake kuswali Rak´ah mbili baada ya kila dhambi”.

Jibu: Hakuna dalili juu ya hili. Ama mwanzoni akitaka kuswali Rak´ah mbili na kutubu, hili limethibiti na inaitwa “Swalaat-ut-Tawbah”. Lakini kuendelea juu ya hili, hapana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (62) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13740
  • Imechapishwa: 16/11/2014