Raatibah ya Fajr pamoja na kunuia swalah ya mamkuzi ya msikiti

Swali: Niliingia msikitini baada ya adhaana ya Fajr nikaswali swalah ya mamkuzi ya msikiti kisha nikaswali Raatibah ya Fajr. Je, kitendo changu ni sahihi?

Jibu: Raatibah ya Fajr inatosheleza. Ukiswali Rak´ah mbili kwa kunuia Raatibah ya Fajr, inatosheleza kwa swalah ya mamkuzi ya msikiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo-jum_ah-15-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 01/05/2015