Kuswali Pahali Pa Maasi


Swali: Inajuzu kuswali sehemu ambayo inajulikana kuwa ni sehemu ya kufanywa maasi?

Jibu: Kukiwa ni pasafi hakuna neno. Kinachozingatiwa ni usafi. Kukiwa ni pasafi kuswaliwe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (9) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt--14340506.mp3
  • Imechapishwa: 08/04/2017