Kuswali Nyuma Ya Mtu Anayesoma Qur-aan Kimakosa

Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali nyuma ya mtu anayetamka Qur-aan kimakosa?

Jibu: Ikiwa utamshi ni kwa kiasi cha kubadilisha maana, si sahihi kwa mtu ambaye anasoma bora zaidi kuliko yeye kuswali nyuma yake. Hata hivyo ni sawa kuswali nyuma yake ikiwa maana haibadiliki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tahid-25-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017