Kuswali nyuma ya mchawi


Swali: Inafaa kuswali nyuma ya imamu ambaye anatambulika kuwaroga watu?

Jibu: Hapana. Haifai kuswali nyuma yake. Swalah yake si sahihi ikiwa kweli ni mchawi. Watu wasiswali nyuma yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (60) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16548
  • Imechapishwa: 10/09/2017