Kuswali nyuma ya ambaye anawaita watu wafanye Tabarruk naye

Swali: Je, swalah inasihi kwa mtu ambaye anawaita watu wafanye Tabarruk naye?

Jibu: Mtu ambaye anawaita watu wafanye Tabarruk naye hakuswaliwi nyuma yake. Kwa sababu ni mwenye kuchupa mipaka juu ya nafsi yake. Ni kwa nini watu wafanye Tabarruk naye? Kunafanywa Tabarruk kwa Allaah (´Azza wa Jall).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathoumaged05-03-1440h.mp3
  • Imechapishwa: 26/04/2019