Kuswali na nguo ilioingiwa na mkojo baada ya kuinyunyizia maji

Swali: Nguo zangu bado zitahesabika kuwa ni najisi zikiingiwa na mkojo kidogo lakini hata hivyo nikapanyunyuzia maji? Je, inajuzu kuswali katika nguo hizo?

Jibu: Ukiinyunyizia maji inakuwa safi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 25/10/2018