Swali: Je, inajuzu kuweka hita za umeme mbele ya mswaliji?

Jibu: Inafaa kufanya hivo wakati haja imepelekea kufanya hivo.

´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz

´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy

´Abdullaah bin Qu´uud

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Lajnah ad-Daaimah nr. (4769)
  • Imechapishwa: 22/05/2022