Kuswali Kwenye Chumba Ambacho Mbele Yake Kuna Kaburi

Swali: Katika mji wangu naishi katika chumba ambacho kuna ukuta baina yangu mimi na kaburi na kaburi hilo limeelekea Qiblah. Je, naweza kuswali chumbani kwangu?

Jibu: Haina neno midhali kaburi hili limetengana na chumba na kuna ukuta baina yako wewe na kaburi hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatsah%20%20-%2028%20-%2012%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017