Kuswali kwa kukaa katika swalah ya sunnah pamoja na uwezo

Swali: Mwenye kuweza kuswali kwa kusimama lakini akaswali kwa kukaa katika swalah ya sunnah. Je, swalah yake ni sahihi?

Jibu: Ni sahihi. Lakini anapata nusu ya thawabu za mwenye kusimama.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (91) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-22-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 10/08/2018