Kuswali kati ya nguzo imechukizwa


Swali: Ni ipi hukumu ya kupanga safu kati ya nguzo?

Jibu: Kupanga safu kati ya nguzo imechukizwa isipokuwa ikuwa kuna haja au dharurah. Kama nafasi msikitini ni finyu kwa sababu ya waswaliji, hakuna neno kuswali kati ya nguzo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (02) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/429/429.mp3
  • Imechapishwa: 28/01/2018