Kuswali kanisani


Swali: Je, inajuzu kuswali kanisani na kama inavyojulikana kuna mapicha na masanamu?

Jibu: Ikiwa kuna mapicha imechukizwa kuswali ndani yake. Lakini ikiwa hakuna picha, hakuna neno kuswali ndani yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13910
  • Imechapishwa: 16/11/2014