Kusujudu kwa sababu ya kisomo katika nyakati zilizokatazwa

Swali: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kufanya Sujuud ya kisomo katika nyakati zilizokatazwa?

Jibu: Ndio. Kwa sababu ni yenye kufuata kisomo. Kama ambavyo inafaa kusoma katika nyakati zilizokatazwa vivyo hivyo inafaa kufanya Sujuud  ya kisomo. Anapopitia Sujuud ya kisomo asujudu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (88) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahssat.mp3
  • Imechapishwa: 08/09/2018