Swali: Mtu akiwa na uzito wa kuisugua miguu yake wakati wa kutawadha, inatosheleza kuimwagilia maji na ikalowa pasi na kuisugua?

Jibu: Ndio. Kuisugua ni Sunnah na sio wajibu. Kitu muhimu ni ayamimine maji juu ya viungo vya mwili. Kukipatikana kusugua ni jambo bora tu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
  • Imechapishwa: 23/07/2017