Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma ndani ya msahafu hali ya kuegemea?

Jibu: Hapana neno. Inafaa akasoma kwa kusimama na kwa kukaa akifunika vile viungo visivyotakiwa kuonekana, ambavyo ni kati ya kitovu na magoti.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24276/حكم-القراءة-في-المصحف-مستلقيا
  • Imechapishwa: 17/10/2021