Kusoma Qunuut kwa sauti nzuri

Swali: Kusoma du´aa ya Qunuut kwa utaratibu na kwa utungo (ترتيل) ndani ya swalah ni Bid´ah na haijuzu?

Jibu: Unakusudia nini kwa kusema kusoma kwa utaratibu na kwa utungo? Kama unakusudia kusoma du´aa kwa sauti nzuri ni sawa. Inazidi kumfanya mtu kuwa na unyenyekevu. Kusoma kwa sauti nzuri ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (10) http://alfawzan.af.org.sa/node/2053
  • Imechapishwa: 07/02/2017