Swali: Je, inajuzu kusoma Qaswiydah al-Burdaa au hapana?

Jibu: Haijuzu kusoma Qaswiydah al-Budaa kutokana na Shirki ilionayo na Bid´ah. Kuisoma ni kuieneza kati ya watu. Lililo la wajibu ni kuivunja na kuichukulia hatua na isiachwe ikaenezwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1430-7-27.mp3
  • Imechapishwa: 19/04/2015