Kusoma mambo ya dini ya watu wa zamani

Swali: Kuna baadhi wanasema kwa nini tunasoma mlango wa Kitaab-uz-Zakaah ya wanyama kama ngamia na wanyama wengine? Kwa kuwa haya ni mambo ya zamani na analitia aibu kwa kusema ´zakaah ya mababu`. Kwa nini zakaah zote zisiwe kwa njia ya pesa kwa kuwa leo mara nyingi tunatumia zakaah kwa aina hii ya pesa?

Jibu: Huyu ni mjinga. Huyu ni mjinga asiyejijua. Ahkaam za Uislamu na za Shari´ah zinafunzwa ili zipate kujulikana. Kuna haja ya hilo. Lakini huyu ni mjinga asiyejijua. Yapuuzwe maneno yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-1-17.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014