Kusoma kwa sauti ya juu ni msikitini peke yake?

Swali: Ni yepi maoni yako kusoma kwa sauti ya juu kumefupilizika misikitini au kunaenea kwenginepo?

Jibu: Hukumu ni maalum misikitini peke yake. Wakiwa mahali pengine kama vile masomo, nyumbani au kikao cha umma, basi mwalimu au mtu mwengine awaelekeze ili wasishawishane.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/312)
  • Imechapishwa: 05/11/2021