Kusoma katika chuo kikuu mchanganyiko au kuozeshwa?

Swali: Mimi ni mmoja katika mabanati zako Uingereza. Baba yangu anataka kunilazimisha kusoma chuo kikuu mchanganyiko. Vinginevyo anasema kuwa ataniozesha kinyume na ridhaa yangu. Je, inajuzu kwangu kumuasi katika hilo…

Jibu: Kukuozesha ni jambo zuri. Kukuozesha ni jambo zuri. Amuozeshe, ailinde nafsi yake. Ni jambo zuri. Hili ni bora kwake kuliko kusoma.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
  • Imechapishwa: 08/02/2017