Kusoma Du´aa al-Istiftaah Zote Katika Rakaa Moja


Swali: Je, inajuzu kujumuisha Du´aa zaidi ya moja katika Swalah moja?

Jibu: Hapana. Hili sio katika Sunnah. Asome Du´aa moja. Katika Rakaa ya pili anaweza kuleta Du´aa nyingine katika Du´aa zilizothibiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-4-23.mp3
  • Imechapishwa: 09/11/2014