Kusoma Biblia au Tawrat pasina haja


Swali: Ni ipi hukumu kwa mwanafunzi kusoma Tawrat na Injiyl?

Jibu: Hapana. Asisome Tawrat na Injiyl isipokuwa mwanachuoni ambaye anataka kuipiga Radd na kubainisha yaliyomo. Ama kwa ajili ya kusoma tu, hili halijuzu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimkasirikia ´Umar wakati alipomuona na makaratasi ya Tawrat. Alimkasirikia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (70) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13905
  • Imechapishwa: 16/11/2014