Swali: Imewekwa katika Shari´ah kusoma Suurah “al-Kahf” jioni ya alkhamisi?
Jibu: Ndio. Japo Hadiyth zina udhaifu, lakini zinapeana nguvu. Kwa hivyo inaweza kusomwa jioni ya alkhamisi na pia siku ya ijumaa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (13) http://alfawzan.af.org.sa/sites/de
- Imechapishwa: 30/09/2017