Swali: Ni ipi hukumu ya kitendo changu lau Khatwiyb atakuwa anatoa Khutbah na mimi ninamsabihi Allaah na kumuomba msamaha kwa sauti ya chini na simshawishi yeyote?

Jibu: Hapana, si sawa kufanya hivi. Jambo hili litakushawishi na kusikiliza Khutbah. Ukijishughulisha na Tasbiyh na Tahliyl itakushughulisha na kusikiliza Khutbah. Kinachotakikana ni kunyamaza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014