Kusitisha kutafuta elimu


Swali: Kutafuta elimu ni katika Jihaad. Je, yule anayeingia katika kutafuta elimu kisha akaacha anaingia katika matishio (ya kupata adhabu ya Allaah)?

Jibu: Hapana, haingii katika matishio. Lakini kuacha kutafuta elimu ndani yake kuna aina ya ukengeukaji. Ni mwenye kulaumika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-04-15.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014