Kusimama usiku wa kuamkia ijumaa na kuswali


Swali: Ni ipi hukumu ya kusimama kuswali usiku wa kuamkia ijumaa kutokana na nafasi yake kubwa? Ni yepi yaliyothibiti katika hayo?

Jibu: Hakukupokelewa kitu juu ya kuufanya maalum usiku wa kuamkia ijumaa kwa kusimama kuswali usiku tofauti na nyusiku zengine. Hakukusihi dalili yoyote juu ya hilo. Haijuzu kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa ´alaa al-Hawaa´ http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/1436-03-02.mp3
  • Imechapishwa: 02/12/2017