Kusimama kwa ajili ya kumpakulia mgeni


Swali: Baadhi ya watu wana desturi mgeni anapokuwa mezani wanasimama kwa ajili ya kumpakulia chakula. Je, inafaa kufanya hivo?

Jibu: Ndio, ni kwa ajili ya kumhudumia. Hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017