Kusifanywe siku maalum kwa ajili ya kuyatembelea makaburi


Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya siku maalum kwa wiki kwa ajili ya kutembelea makaburi ya ndugu?

Jibu: Asifanye siku maalum, si ijumaa wala siku nyingine. Asikariri matembezi mara kwa mara. Kunapopita muda atembelee kaburi la ndugu yake na kumuombea du´aa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (55) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16503
  • Imechapishwa: 23/09/2017