17- Ibn Saa´id alisomewa na mimi huku nasikiliza: al-Hasan bin Muhammad az-Za´faraaniy na Muhammad bin ´Abdil-Malik ad-Daqiyqiy wamekuhadithieni: Yaziyd bin Haaruun ametuhadithia: Muhammad bin ´Amr ametuhadithia, kutoka kwa Abu Salamah, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyesema:
“Allaah (´Azza wa Jall) anashuka kila usiku katika mbingu ya dunia kwenye nusu ya usiku au theluthi ya mwisho na anasema mpaka alfajiri inaingia: “Ni nani aniombaye nimuitikie? Ni nani aniombae nimpe? Ni nani aniombae maghfirah nimghufurie?”
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 104
- Imechapishwa: 17/01/2018
17- Ibn Saa´id alisomewa na mimi huku nasikiliza: al-Hasan bin Muhammad az-Za´faraaniy na Muhammad bin ´Abdil-Malik ad-Daqiyqiy wamekuhadithieni: Yaziyd bin Haaruun ametuhadithia: Muhammad bin ´Amr ametuhadithia, kutoka kwa Abu Salamah, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyesema:
“Allaah (´Azza wa Jall) anashuka kila usiku katika mbingu ya dunia kwenye nusu ya usiku au theluthi ya mwisho na anasema mpaka alfajiri inaingia: “Ni nani aniombaye nimuitikie? Ni nani aniombae nimpe? Ni nani aniombae maghfirah nimghufurie?”
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 104
Imechapishwa: 17/01/2018
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-abu-hurayrah-5/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)