Kushirikiana na mapote potevu


Swali: Ni ipi hukumu ya kushirikiana na makundi ya Kiislamu ambayo kuna uwezekano baadhi ya wanachuoni wamewasifu na wanajinasibisha na Ahl-us-Sunnah kwa jumla?

Jibu: Usiangalie matapo ya yeyote. Tazama mfumo wa kundi hilo; unaafikiana na Qur-aan na Sunnah au hapana?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 15/07/2018