Swali: Inajuzu kwa mtu kushika Qur-aan na kuipeana na kuipokea kwa mkono wa kushoto?

Jibu: Anaweza kufanya hivo ikiwa kama hawezi kuichukua kwa mkono wake wa kuume. Vinginevyo aichukue kwa mkono wa kulia kwa kukiheshimu Kitabu cha Allaah (´Azza wa Jall). Mkono wa kulia unatumiwa juu ya vitu vizuri na mkono wa kushoto unatumiwa juu ya kusafisha na mfano wa hayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatsah%20%20-%2028%20-%2012%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017