Swali: Je, inajuzu kwangu kusema “Astaghfir Allaah” nikikosea katika kisomo wakati wa Swalah?
Jibu: Hapana, usiseme hivo. Usizidishe katika Swalah kitu ambacho hakikuthibiti. Sahihisha kisomo chako.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (15) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-02-09.mp3
- Imechapishwa: 11/11/2014