Kusahau Qur-aan aliyokuwa mtu amehifadhi


Swali: Mtu aliyehifadhi sehemu katika Qur-aan kisha akasahau anapata dhambi kwa hilo?

Jibu: Hapati dhambi kwa hilo, lakini hii ni neema iliyomwondoka kwa sababu ya kuzembea. Ni juu yako kufanya bidii kuirudilia Qur-aan na kuihifadhi ili neema hii iweze kumrudilia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (83) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-15-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/01/2018