Kusafiri siku ya alkhamisi na jumatatu

Swali: Je, ni katika Sunnah kusafiri siku ya Alkhamisi?

Jibu: Ndio. Siku ya Jumatatu au Alkhamisi. Kusafiri siku ya Jumatatu au Alkhamisi ni Sunnah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-11-09.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014