Kusafiri kwa ajili ya swalah ya jeneza


Swali: Je, ni jambo limewekwa katika Shari´ah kwa ajili ya kumswalia maiti?

Jibu: Hapana. Mtu asisafiri kwa ajili ya kumswalia maiti. Lakini ikiwa huyo aliyekufa ni katika wanachuoni au walinganizi, mtu awaswalie swalah ya ghaibu. Hivo ndivyo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alivyomswalia Najaash wakati alipokufa. Alitoka na Maswahabah zake na akamswalia swalah ya ghaibu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa' al-Maftuuh fiy Masjid Qubaa' http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17626
  • Imechapishwa: 27/02/2018