Swali: Inajuzu kusafiri kwa ajili ya kwenda kumzika ndugu au mwanachuoni?

Jibu: Hili linahitajia kuangaliwa vizuri. Bora ni kutofanya hivo. Bora ni kumuombea du´aa au kumswalia swalah ya ghaibu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-08-13.mp3
  • Imechapishwa: 12/06/2018